DIGAP ni mfumo wa kidigitali unaosaidia wanafunzi na jamii kupata huduma mbalimbali za elimu na mafunzo. Mfumo huu unatoa huduma kama usajili wa wanafunzi, upatikanaji wa link muhimu (ZHESLB, HESLB, NIDA, TCU, RITA), mafunzo ya computer, ushauri wa kielimu, na msaada wa ki-teknolojia. Lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma zote muhimu kwa njia ya mtandao kwa haraka na urahisi.