Huduma za Elimu, Teknolojia na Huduma za Kijamii
Huduma za Elimu
Huduma za Kijamii
Jumla ya Huduma
| S/N | Huduma | Maelezo | Bei (TZS) |
|---|---|---|---|
| 1 | Kufungua Email | Kutengeneza akaunti mpya ya email | 2,000 |
| 2 | NIDA Verification Code | Kupata Verification Code ya mwanafunzi, baba au mama | 10,000 |
| 3 | RITA Verification | Kuhakiki cheti cha kuzaliwa (Tanganyika) | 5,000 |
| 4 | ZCSRA Verification | Kuhakiki cheti cha kuzaliwa (Zanzibar) | 5,000 |
| 5 | AVN | Kuomba Academic Verification Number | 10,000 |
| 6 | NACTVET/NAPA Verification | Uthibitisho kwa wahitimu wa Diploma | 10,000 |
| 7 | Maombi ya Mikopo (HESLB) | Kujaza na kutuma maombi ya mkopo | 10,000 |
| 8 | Maombi ya Mikopo (ZHELB/ZESLB) | Kujaza na kutuma maombi ya mkopo | 10,000 |
| 9 | Maombi ya Vyuo Vikuu | Kuandaa na kutuma maombi ya udahili | 5,000 |
| 10 | Marekebisho ya Maombi | Kubadilisha kozi au taarifa | 3,000 |
| 11 | Kufuatilia Maombi | Kufuatilia hatua za maombi | 3,000 |
| 12 | Ushauri wa Uchaguzi wa Kozi | Ushauri wa kozi na chuo | 5,000 |
| S/N | Huduma | Maelezo | Bei (TZS) |
|---|---|---|---|
| 1 | Maombi ya Passport | Kuandaa na kutuma maombi ya pasipoti | 25,000 |
| 2 | Maombi ya Ajira | Kuomba kazi kupitia mifumo mbalimbali | 10,000 |
| 3 | Kutengeneza CV | Kuandaa CV ya kisasa | 5,000 |
| 4 | Barua ya Maombi ya Kazi | Kuandaa Cover Letter | 3,000 |
| 5 | Maombi ya TIN | Kuomba namba ya mlipa kodi | 5,000 |
| 6 | Leseni za Biashara | Usajili wa leseni | 7,000 |
| 7 | Usajili wa Kampuni | Kusaidia usajili wa biashara | 300,000 |
| 8 | Maombi ya NIDA | Usajili au marekebisho | 7,000 |
| 9 | Huduma za e-Government | Maombi ya serikali mtandaoni | 10,000 |
| 10 | Maombi ya Visa | Kuandaa na kutuma visa | 20,000 |
| 11 | Kujaza Fomu Mtandaoni | Kujaza fomu za kidigitali | 10,000 |
| 12 | Download & Print | Kupakua na kuchapisha nyaraka | 3,000 |
| 13 | Marekebisho ya Nyaraka | Word/PDF editing | 3,000 |