Karibu Mteja!
Huduma za Kidigitali Bora Zanzibar
Takadiri Company Ltd ni kampuni ya kiteknolojia inayolenga kuleta mabadiliko chanya Zanzibar na Afrika Mashariki. Tunatoa suluhisho kamili za systems, websites, apps, na usalama wa kidigitali, huku tukiwasaidia vijana, taasisi, na wafanyabiashara kukuza ujuzi wa kiteknolojia na kufanikisha malengo yao kwa njia ya kisasa.